Siku 14 bure
Jaribu Faida POS bure kwa siku 14
Fungua akaunti yako sasa na uanze kuuza leo. Hakuna malipo wala kadi inayohitajika.
Majaribio yako ya bure yanajumuisha
- Siku 14 bure — bila malipo wala kadi
- Akaunti ya mmiliki + akaunti 1 ya keshia
- Duka 1 na hadi bidhaa 100
- Uza, risiti, stoku na ripoti za kila siku
- Msaada wa timu yetu kwa WhatsApp
Majaribio yakiisha
Akaunti yako inasimama: huwezi kuuza, lakini hakuna kinachopotea. Lipia ndani ya siku 30 na uendelee na bidhaa na mauzo yako yote. Baada ya siku 30 taarifa za majaribio zinafutwa.
Duka lako liko tayari!
Ingia kwa:
Fungua Faida POS Tujulishe WhatsAppHifadhi nenosiri lako. Ingia wakati wowote kwa simu au kompyuta kupitia faida-pos.netlify.app/app/.