Demo hai

Jaribu Faida POS kwenye kifaa unachotaka

Chagua kifaa, gusa bidhaa, lipisha na chapisha. Kila kitu kinafanya kazi kwenye kivinjari chako.

  1. 1Ongeza bidhaa — gusa au skani
  2. 2Lipisha na chagua njia ya malipo
  3. 3Risiti inachapishwa kwa Bluetooth
  4. 4Stoo inabadilika na taarifa zinaingia
14:32
Faida POS
UzaBT-58

Mauzo ya sasa

  • Gusa bidhaa kuiongeza
0 bidhaaTZS 0
Sukari 1kg iliyopo stoo8

Gusa bidhaa wewe mwenyewe.

Hujui unahitaji nini?

Jibu maswali 8 mafupi kuhusu biashara yako. Tunapendekeza kifurushi sahihi na kukuonyesha bei kamili. Hakuna haja ya kupigiwa simu na muuzaji.

Anza kutafuta kifurushi